Kocha wa Kenya Afungiwa Mechi Mbili CECAFA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baraza la vyama vya soka kwa nchi za Afrika Mashariki (CECAFA) limemfungia kwa michezo miwili kocha mkuu wa Kenya, Francis Kimanzi.

Kwa mujibu wa taarifa ya CECAFA iliyotolewa tarehe 8 Disemba 2019 kocha huyo amekutwa na makosa ya vitendo visivyo vya kimichezo na ataanza kutumikia adhabu yake kuanzia mchezo wa pili wa timu yake iliyopo kwenye kundi B.

Sambamba na Kimanzi, CECAFA pia imetoa onyo kwa viongozi wengine wa benchi la ufundi la Kenya kwa vitendo visivyo vya kiungwana mchezoni.

Kimanzi aliiongoza vyema Harambee Stars kwenye mchezo wa kwanza wa kutetea ubingwa wao walipofanikiwa kuifunga Kilimanjaro Stars kwa bao 1-0.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad