Lionel Messi ashinda tuzo ya 6 ya Ballon d’Or na kumuacha Ronaldo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Usiku wa December 2019 nchini Ufaransa katika jiji la Paris zilifanyika tuzo za Ballon d’Or 2019, huku wengi wakitaka kujua ni nani atakuwa mshindi kati ya Van Dijk, Ronaldo na Lionel Messi.Lionel Messi ashinda tuzo ya 6 ya Ballon d’Or na kumuacha Ronaldo

Lionel Messi wa FC Barcelona ndio mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2019, hiyo ikiwa ni tuzo yake ya 6 ya Ballon d’Or akimzidi mpinzani wake wa muda wote Cristiano Ronaldo aliyewahi kutwaa tuzo hiyo mara 5.



Wengine waliofanikiwa kushinda tuzo katika usiku wa Ballon d’Or 2019 ni beki wa Juventus Matthijs De Light tuzo ya mchezaji bora kijana (Kopa Trophy) kwa kuwashinda Jadon na Joao.

Golikipa wa Liverpool Alisson Becker akiwa ndio mshindi wa tuzo ya kipa bora wa mwaka na Megan Rapinoe wa timu ya taifa ya wanawake ndio akashinda tuzo ya mchezaji bora wa kike (Ballon d’Or).
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad