Mbwana Samatta Aungana na Mohamed Salah wa Liverpool

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtanzania Mbwana Samatta ameondoka katika kampuni ya uwakala ya First For Players na kujiunga na Spocs Consultant inayomsimamia Mohamed Salah wa Liverpool, Samatta anakuwa mchezaji wa pili mwenye thamani ya juu kwa wanaosimamiwa na kampuni hiyo baada ya MOSalah.

Samatta ambaye ni mchezaji namba 2 kwa thamani katika list ya wachezaji zaidi ya 100 wanaosimamiwa na Spocs Consultant, aliingia mkataba na First For Players December 22 2018 lakini ameamua kubadilisha wakala kwa sasa.

Samatta anayetajwa kuwa na thamani ya pound milioni 12 kwa mujibu wa mtandao wa transfer Market, anaamini kufanya huko na uzoefu wa kampuni hiyo mpya kunaweza kusaidia ndoto yake ya kucheza EPL.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad