'Nilifananishwa na Shetani' - Barnaba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa Muziki wa BongoFleva, Barnaba Classic amefunguka na kusema moja ya changamoto alizowahi kupitia wakati akianza muziki, ni wazazi wake kukataa asifanye muziki huo kwa walikuwa na misingi ya Dini.


Barnaba amesema kuwa wazazi wake walimfananisha na Shetani kutokana na yeye kuamua kufanya muziki wa BongoFleva huku wazazi wake, wakiwa watumishi wa Kanisani.

Katika kipindi cha DADAZ cha EATV kinachoruka kil siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 6 Mchana Barnaba amesema kuwa "mimi nilikuwa mtoto wa mtumishi wa Mungu, japo baadaye ikabidi nianze muziki na nikaingia THT, japo familia ikaanza kutaka kunitenga walihisi nimeshaharibika, nimeshakuwa Shetani"

"Siku ya kwanza kufanya Interview THT nilikosa, na nakumbuka niliacha kwenda kufanya mtihani, ili niende kwenye usahili, kwa hiyo nikawa nimekosa kote kuanzia Ukatekista." ameongeza Barnava
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad