12/14/2019

RIHANA Kawa Mcharo Kauza Documentary ya Maisha yake Bilion 57 za Kitanzania

Rihanna macho yake yote yapo kwenye mapene, ameripotiwa kuuza haki za filamu fupi ya maisha yake kwa mtandao wa Amazon.

Tovuti ya Hollywood Reporter imeandika kwamba Rihanna amelipwa kiasi cha ($25M) sawa na Bilioni 57 za Kitanzania. Documentary hiyo ambayo inatayarishwa na muongozaji Peter Berg bado haina jina na imekuwa ikitayarishwa kwa miaka mingi sasa.

Katika masaa 1,200 ya kuitazama utapata kuona maisha yake kuanzia muziki, familia, Kazi, mapenzi na masuala mengine ya kijamii.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger