Ticker

6/recent/ticker-posts

Urafiki Wavunjika, Watuhumiana kwa Makalio FEKI na Kushushuana Kutembea na Waume za Watu


Pichani wote wawili ni mastaa wa filamu nchini Ghana, Salma Mumin (kulia) ndie ametajwa kuanza kumchokonoa Moesha(kushoto) kwa kumsema anatembea na waume za watu na kumsema Moesha kuwa anaringia kalio feki

Wawili hao awali walikuwa marafiki wa kula na kupakua lakini uswahiba wao ukaingia mchanga. Katika interview mpya Salma alikaririwa akisema mwaka 2019 kawasamehe wote waliomtendea ubaya lakini hatokuja kumsamehe Moesha na hadhani kuwa watakuja kuwa karibu tena -

STORI ZAIDI za AINA HII Download Udaku Spesho App HAPA

Baada ya hapo Moesha ambaye alishakiri kuwa alifanya upasuaji kuongeza makalio yake, ameonekana kupandwa na hasira na kumlipua Salma kumwambia mbona hata yeye kashatembea na waume za watu na bado hadi sasa anatembea nao ! Aidha, Moesha amemshushua Salma kuwa kama ni makalio feki hata yeye mbona alienda nchini Uturuki kuwekwa makalio ya bandia lakini upasuaji ulienda arijojo hivyo kalio lake kushindwa kubamba kama lake ndio maana anamuonea wivu na kumsema vibaya

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments