12/14/2019

Wananchi wajitokeza kuipokea Bombardier MwanzaWananchi na viongozi mbalimbali wameanza kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Mwanza kuipokea ndege aina ya Bombardier Q 400 inayotokea Canada ilikokuwa imeshikiliwa kwa siku kadhaa.

Rais wa Tanzania, John Magufuli atawaongoza wananchi katika mapokezi hayo.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amesema, “ kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa alasiri watawasili wananchi na viongozi mashuhuri. Rais ataingia uwanjani hapa saa 10:00 jioni na ndege hiyo inategemewa kuwasili saa 11:00  jioni.”

Novemba 23, 2019 katika hafla ya kuapishwa kwa mabalozi mjini Dodoma Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi alieleza kukamatwa kwa ndege hiyo nchini Canada.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger