1/24/2020

Baada ya Hamida kuwa gumzo, Roma amuangukia mkewe "Usije ukautoa mpira nje"Kutokana na video ambayo imetrend kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mwanaume akigalagala huku akiwa analia akitamka maneno 'Hamida umeniacha Hamida' imemuibua msanii Roma Mkatoriki na kumuonya mkewe asimfanyie hivyo.

Kwenye page yake ya instagram roma amesema mwaka huu wanawake mmejua sana kutuumisa huku akimtaja mke wa stamina, mke wa mabeste na Hamida ambaye ametrendi baada ya video ya mwanaume anayemlilia Hamida baada ya kumuacha.

Roma amemuonya mkewe Mama Ivani na kumwambia "Chonde Chonde Mama Ivan @_nancydaniel Usije Ukatoa Mpira Nje Ukauchana Mkeka!! Taambia Nini Watu Mimi!!!!😰😰"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger