Baba Diamond Atoboa Siri “Diamond Kupokelewa na Popo Kigoma, Ameseimikwa Kimila Ukimgusa Unaparalaizi Mwili Mzima”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baba mlezi wa @diamondplatnumz amefunguka na kueleza vitu vyote alivyovifanya kufanikisha tukio la @diamondplatnumz la kutumiza miaka 10 kwenye muziki wa Bongo Fleva.


Pia ameeleza kuhusu Popo walioruka Angani baada ya @diamondplatnumz kukanyaga ardhi ya KIGOMA na kusema sio kitu cha kawaida huwa wanaruka anapofika mtu mzito
@diamondplatnumz ukubwa wake sio wa kulipa watu waje wanahangilie yule ni mkubwa sana, hata mimi walinifuata vijana kuniomba hela eti waweke mafuta kwenye Pikipiki wamfuate DIAMOND, Nikawambia kama mmesikia mimi nimekuja KIGOMA na mmenifuata itawezekanaje @diamondplatnumz aje halafu msiende..? Kama mnataka kuja njooni kama hamtaki msije “


By Ally Juma.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad