KIMENUKA..Uingereza Yalimwa Barua na Iran Kisa Hichi Hapa...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kufuatia balozi wa Uingereza mjini Tehran, Rob Macaire,  kushiriki katika “mandamano haramu” Iran yaiandikia barua serikali ya Uingereza kupinga kitendo hicho.

Taarifa ya maandishi iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Iran inasema, kufuatia Macaire kufanya “vitendo visivyo vya kawaida na kushiriki katika maandamano haramu” aliitwa na wizara lakini sanjari na hilo utawala wa Tehran umetuma barua rasmi ya kupinga kitendo hicho kwa balozi huyo na kwa serikali ya Uingereza.

Kufuatia Macaire kushiriki katika maandamano ya kuipinga serikali siku ya Jumamosi mjini Tehran, Ä°ran ilimtia kizuizini kwa muda na baadaye ikamuachia huru.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad