Profesa Jay Aanika Studio yake ya Kisasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muda mrefu ambaye kwa sasa pia unaweza kumuita muheshimiwa mbunge anayesimamia watu na wanyama Profesa Jay  leo aameanika studio yake ya kisasa ambayo imemalizika na kuwaalika wasanii wote kufanya kazi.

Profesa Jay amepost video inayomuonesha Mrttouchez akipiga beat kuonyesha kuwa mzigo upo tayari muda wowote.

Ameandika katika ukrasa wake wa kijamii kuwa;

MIKUMI STAND UP🔥🔥🔥

Ujenzi wa Studio yetu ya kisasa ya MWANALIZOMBE Studios umeshakamilika, Sasa Wasanii wote mnakaribishwa sana kutoka Pande zote KAZI KWENU, Na kama mnavyoona Mtaalam wa Hizi Kazi PRODUCER @mrttouchez Ameshaikagua na Ameshawasha MITAMBO Rasmi,
Ujenzi wa Studio umesimamiwa kikamilifu na MAINJINIA wa Ukweli @shamfa_boy na @davymachords
KARIBUNI SANA MIKUMI, KIMENUKAAA💪🏻💪🏻💪🏻

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad