Kirusi cha Ajabu Hatarini Kusambaa Duniani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Beijing, China. Mamlaka za Afya duniani zimeonyesha wasiwasi kwamba kirusi kilichozuka hivi karibuni katikati ya China kinaweza kusambaa wakati mamilioni ya Wachina watakaposafiri kwa ajili ya sherehe za mwaka mpya wa Kichina.

Ingawa hakuna taharuki kubwa kwenye eneo ambalo kirusi hicho kimeripotiwa lakini baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakisambaza juu ya taarifa za kirusi hicho kwa njia ya intaneti.

Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia hadi kufikia jana asubuhi katika mji wa Wuhan kutokana na mlipuko huo.

Maafisa wa afya wa mji wa Wuhan, China walisema kuwa watu wengine wanne wamethibitishwa kuwa na kirusi hicho.

Taarifa ya wizara ya afya ya China inasema kuwa mgonjwa aliyepatwa na kirusi hicho kinachojulikana kwa jina la Corona kupata homa ya mapafu.

Kwa mujibu wa Shirika la habari la Ufaransa (Reuters), mamlaka ya afya nchini China imegundua kirusi hicho kimezuka kutoka soko la vyakula vya baharani lililopo mjini Wuhan.

Mwananchi
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad