Kweli Uchawi Upo Kijana Azama Mapenzi na Kibibi Kizee...Kibibi Chajihisi Kuwa Bikira

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ajihisi upya kuwa bikira licha ya kuwa na miaka 80 ! Pichani Iris Jones(80) raia wa Uingereza ameangukia penzini mwa jamaa huyo Mohamed Ahmed(35) raia wa nchini Misri ambaye hana kazi kwasasa. -

Wawili hao walikutana Kwenye page ya Facebook ambapo Mohamed alitoa comment kumuita Iris 'wife' kwa kutania. Baada ya muda wakaanza kuchati inbox na baadaye Mohamed akaanza kutupa kete kumtongoza mrembo huyo ambapo alimjibu kuwa na utu uzima alionao atampeleka wapi. Mohamed alimjibu kuwa ni mwanamke mzuri amevutiwa nae ambapo baada ya muda Iris nae akaanza kupata hisia za kumpenda Jamaa huyo -

November mwaka Jana 2019, Kwa mara ya kwanza Iris akasafiri toka Uingereza kwenda Misri kumuona Mohamed ambapo wakiwa airpot ya Cairo kisura huyo akavutiwa zaidi na Mohamed kwa urefu alionao na licha ya yeye Iris kuwa mfupi lakini Mohamed aliinama kumpiga busu

Katika interview, Iris amesema muda mchache baada ya kutoka airpot, walibanjuka sita kwa sita na kwa mara ya kwanza akajihisi upya Kama binti bikira huku akimsifia Mohamed kumpa penzi moto moto ingawa anasema haikuwa kazi rahisi. Iris amesema miaka 40 iliyopita wakati wakitengana, aliyekuwa mumewe alimwambia amekuwa wa baridi sana lakini Iris sasa anasema baada ya kukutana na Mohamed amejigundua hana baridi yoyote ex wake alimdanganya -

Mohamed alifukuzwa kazi baada ya kumuomba bosi wake ampe muda sababu ya ugeni was Iris kutoka Uingereza. hata hivyo bosi huyo hakupenda akamfukuza kazi Jamaa . Iris tayari amekutana na mama mkwe wake mtarajiwa yaani mama wa Mohamed ambaye hana neno kawapa baraka za ndoa akiwaombea kheri na kusema mwanae Kama kapata mwanamke wa kumpa furaha yeye hana pingamizi

Hata hivyo, watoto wa kiume wa Iris wameonekana kutokukubali hilo wakidai Mohamed atakuwa anataka pesa. Iris kawapiga mkwara wanae kuwaambia kuwa aliwapa furaha kwa kuwalea vizuri kuwapa kila kitu maishani na Pia kawapa furaha watu wengi hivyo ni muda wa yeye kuwa na furaha na mwanaume ampendaye. Iris amesema Mohamed hajawahi Hata kuomba sent yake. Wawili hao watafunga ndoa hivi karibuni


Iris kwasasa anaishi kwa pensheni ya £200 zaidi ya laki 600,000 za Kibongo kwa wiki na marupurupu mengine.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad