AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
(Jina Langu) samahani, nikamjibu...bila samahani...(Jina lake), nina shida ya sh.30,000/= naomba unisaidie,(kwa kuwa nimezoena nae sana akaanza kunisimulia)
Kuna hawara yake ni doctor hapa ...juzi yake alimwambia kuwa "hamtaki tena kuanzia Juzi hiyo" huyo hawara yake ana mke na watoto 3.
Ni yeye (hawara) ndiye anayemlipia kodi ya nyumba, anamsomesha chuo cha Hotel management na ndiye anayemtunza kwa maana ya chakula.
Sasa kodi inaisha mwezi wa kwanza mwakani na ada ya chuo anadaiwa na imebaki sh. 700,000/= na pesa ya kwendea field Zanzibar hana.
Akaniambia kuwa, ...Nimepata mtaalamu (mganga) ameniambia nimpe sh. 30,000/= ili anipe dawa nimvute, (Amchomee) ili kurudisha mawasiliano halafu nyingine atamwekea kwenye chakula au kinywaji ili "akiomba kiasi chochote kile cha pesa apewe"
Sikuwa na iyana ila nimuuliza swali moja, kwa nini usitumie njia ya mazungumzo? akasema nishajaribu sana but hataki! "sasa mimi nitaishije hapa wakati ada nadaiwa, kodi ya nyumba inaisha mwakani"?
Nilimpa sh. 30,000/= akaenda.
Jumapili (jana) huyo hawara yake alisalimu amri yy mwenyewe kwa yeye kuanza kumpigia simu (kwa mujibu wa huyu binti) jamaa alimuuliza "upo wapi"? demu akajibu nipo nyumbani, Njoo .....bar...sasa kilichojiri huko jana sikijui nadhani leo ataniambia tu..
Kwa hiyo, wanaume tuwe makini sana na mahawara kwani yawezekana unaye na unatamani ujinasue kwake ila moyo wako unakufa ghafla na kuamua kuendelea naye hadi sasa. Pls, tuwe makini sana.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hiyo ndio dawa yenu wapenda 'michepuko' hamtosheki na wake zenu mfyuuuuuuuuuuu
ReplyDelete