AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mtangazaji mpya wa wasafi Fm @jumalokole2 amefunguka siri ya kupewa kipindi Wasafi na Diamond Platnumz na kueleza kuwa licha ya kupewa kipindi hicho hata acha kamwe kufanya mambo ya umbea.
Mbali na hilo Lokole amezungumzia sakata la Dula Makabila kuvaa wigi na kujiremba kama mwanamke “Mimi ndio nilimshauri “ @auntyezekiel alipigana na mwanamke kisa @moseiyobo “ “Mimi nishawahi kumuwasha @diamondplatnumz mara nyingi sana post zangu anasoma mara nne na ameshawahi kuni Unfollow mara nyingi sana”SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA
VIDEO:
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK