Muna Love "Nimekosea Wapi Mnataka Nife kwa Presha zenu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Muna arudi rasmi katika mtandao wa kijamii wa instagram baada ya siku chache kutangaza mapumziko kwa muda.

Muna amepost picha akionekana na vazi la kiislamu ambapo habari za chini chini zinadaiwa kuwa ameamua kuachana na ulokole na kuamua kufunga ndoa ya kiislamu na mwanaume wa kiarabu

Kutokana na kushambuliwa na mashabiki muna ameamua ateme nyongo na kuwaambia kuwa "Matusi yote mnayonitukana , kejeli, dharau nimewakosea nini ? Nimekosea wapi mnataka nife kwa presha zenu? na maneno makali" .

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad