Nimemkuta Mume Wangu Akifanya Mapenzi na House Girl wa Jirani Ndani ya Nyumba Yetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu
nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha
kilomita moja toka nyumbani.
Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?
NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...
SHARE HII TAFADHALI
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole dada endelea na mumeo msamehe usiache nyumba yako kwa msichana wa kazi. vumilia

    ReplyDelete
  2. nikuwa makini namume wako pia jitahidi kumuonya huyo bint asiwe na mazoea na huyo bwana mpige marfuku asikanyage hapo nyumbani ukimuona muitie mwizi kwani hao viumbe (me) niwashezi sana kila siket wanayoiona kwao ni safi

    ReplyDelete
  3. na wewe nenda kagongwe

    ReplyDelete
  4. duh tafuta house boy wa jirani naye akugonge eboooooooooooooo!

    ReplyDelete
  5. ushauri gani nyie wawili hapo juuu,wasenge nyie.dada endelea na mumeo msamehe kisha angalia mapungufu haswa upande wako kisha rekebisha ndoa yako ni ya zaidi ya miaka mia hiyo iboreshe bado changa sana

    ReplyDelete
  6. Dada msamehe mumeo amepitikiwa na shetani. Ndoa ni taasisi inayohitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa na ndio maana wakati wa kuoa kwa kawaida unapewa darsa kubwa juu ya umuhimu wa kustahamiliana otherwise kila siku wa2 watakuwa wanaachana.

    ReplyDelete
  7. Dada huyo awezi kuacha sasa uchamgundua hatawapeleka gest au kwa rafiki, atachofanya Ni kutumia ujanja mwingine na wapo wengikwa kazi kwako wewe ndiye muhamuzi wa mwisho, lakini kuacha forget sister.

    ReplyDelete

Top Post Ad