Wadada tu: Utajuaje Kuwa Wewe ni Mdangaji? Soma Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba kwa minajili ya kujipatia hela, ujue wewe ni Mdangaji. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.

Japokuwa wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.

Kwa wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu masije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe. 

Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. basi kina dada wengi watakuwa machangu maanake siku hizi ningumu kupata hilo tunda bila kutolewa hela au kitu chochote!!! duh!!

    ReplyDelete
  2. Uchangu certificate ya kwanza ya mwanamke,bila hela hampewi nuktaaaa.kwanza hamna shukrani hatamkipewa bure hamthamini tutauziana mpaka kiama.wadada msiogope toza tu hawa kima

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa dada wakati wakugongwa kwani utamu tunasikia peke yetu? kwanini nanyie mnapenda ndulula, c linakupeni raha? hongeni na nyie basi, iwe pasu kwa pasu!!

      Delete

Top Post Ad