3/25/2020

Kwanini Sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Hatupati Waume wa Kutuoa?

Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

6 comments:

 1. Mnatazamwa Kama malaya hasa wengi mnaenda kutingisha matako yenu na kuvaa nguo zinazobana wakati unajua unahips na matako makubwa. Pili wanaume wengi wanachukia sana akiona mke wake vijana wanamkodole Macho pale watembeapo. Jirekebisheni kwenye mavazi na jinsi ya kutembea. Pia huwa mnamajiringo sana kwa kuwa mnatongozwa na wengi bila kujua kuwa wanaume wanawachukuliaje.

  ReplyDelete
 2. Lkn hawa udaku siwaamini kazi Yao kutoa makala ili wajaze pages hawafatilii chochote kabla sio kweli

  ReplyDelete
 3. Dharau na kiburi sana nde sababu.
  Mwanaume atakuwa yupo kwa dhati kwako ila wewe jeuri xana, kwa mjanja atajishusha kwako ili apate
  Chini akishapata pale Kati humuoni tena.then utakula jeuri yako mwengine akija anapiga na kupotea.

  ReplyDelete
 4. Nani anataka pressure kila mmoja anamkodolea macho mwanamke mzuri sana sio wa kuoa ni kutumia na kuacha ukioa ujue umeolea watu

  ReplyDelete
 5. Ukioa mwanamke mwenye makalio makubwa ujue lazima kugongewa maana kila MTU anakodolea macho

  ReplyDelete
 6. Wanaolewa tu mbona, kama hunaolewa nj wewe binafsi.

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger