3/31/2020

Mchungaji Afrika Ya Kusini Aomba Mil 230 Kwa Ajili ya Kwenda Kuzimu Kupambana na Pepo la Corona

Mchungaji Mboro kutoka Afrika Ya Kusini ameomba kupatiwa Tsh Milioni 230 kwaajili ya safari ya kwenda kuzimu kwaajili ya kupambana na pepo ambae amesababisha Corona Virus.

Mchungaji Mboro anasema haina haja ya kutumia gharama katika tafiti za kisayansi kwani sababu ya kile kinachotokea kwa sasa ni pepo mchafu ambae yupo kuzimu.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

  1. Wacha utapeli, kama kweli ntamwambia Tlamp atume badala ya kupoteza kwenye Ventileta. Adika Akaunti yako ya Mpesa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usitume kwanza, ngoja Manabi na Mitume wa Bongo wahakiki kwanza.

      Delete

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger