Fanya hivi kama Simu yako imengia kwenye Maji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

m
Unaweza ukawa mwangalifu sana ila, bahati mbaya inatokea na simu zetu zinaingia maji.
Sasa, kwa kuwa simu zisizoingia maji bado ni ghali sana, simu yako ikiingia maji unaweza ukaiokoa kwa kufanya yafuatayo.

1. Itoe kwenye maji
2. Izime alafu ilaze kwenye kitambaa laini au tishu nzito alafu toa kava la nyuma na betri (kama unaweza kufungua simu yako)
3. Pia, ondoa SIM card, memory card, kava za simu uziache zikauke.
4. Kausha simu kwa ndani kwa kutumia kitambaa laini au tishu nzito. Hakikisha unaikausha haraka iwezekanavyo.
5. Weka simu ya ndani ya mfuko wa mchele kwa masaa 24. Mchele inanyonya maji.
6. Angalia kama eneo la kuchomeka chaji na headphone zimekauka. Kama bado, rudia  hatua 4 na 5.
7. Baada ya masaa 24, jaribu kuiwasha alafu angalia kama ina fanya kazi inavyotakiwa.

Kuna uwezekano kwamba utabidi kuipeleka kwa fundi

Ukiona kwamba haifanya kazi baada ya pitia hatua hizi, bora uipeleke kwa fundi. Ipeleke kwa wakala wa aina ya simu (au mtandao) ya simu yako au kwa duka la kutengeneza vifaa vya umeme linaloaminika.

Ila, kuzuia ni bora zaidi ya tiba. Kwa hiyo, nunua kava ya simu inayozuia maji kuingia kwenye simu.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad