Mgonjwa wa Corona Agoma Kuwekewa Mashine ya Kupumulia Afariki, Aacha Ujumbe Mzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Suzanne Hoylaerts mwenye umri wa miaka 90 ambaye alikuwa na ugonjwa wa virusi vya Corona nchini Ubelgiji amefariki baada ya kukataa kuwekewa mashine.

Mgonjwa huyo alikuwa anawekewa mashine kwa ajili ya kumsaidia kupumua.

Suzanne aligoma kuwekewa mashine hiyo huku akitaka mashine hiyo ikawasaidie wagonjwa wingine.

Kabla ya kukutwa na umauti alidai kuwa ameishi maisha mazuri tayari wapatiwe wengine hiyo mashine.

“Nimeshaishi maisha mazuri tayari, ihifadhi kwa ajili ya wengine wenye umri mdogo kuliko mimi,” alisema awali kabla ya kufa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad