5/21/2020

Dawa ya Corona Yathibitishwa Tanzania, inaponya na Kansa “Watu Hawatokufa Tena”
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama amesema tayari dawa ambayo imetengenezwa na vijana aliowaibua wilayani humo na kuipa jina la Baycaro Kiboko ya Corona, imethibitishwa na NIMR kuwa ina uwezo wa kupambana na virusi mbalimbali ikiwemo vya corona lakini pia kansa na uvimbe, Mshama amesema dawa hiyo inakinga na kutibu pia.

“Dawa ya corona (Baycaro) tuliyowaambia tunaipeleka kuifanyia vipimo kule NIMR, cha kumshukuru Mungu vipimo vimerudi na imeonekana inafaa kwahiyo inatuhalalishia kwamba Watu hawatokufa tena, tunaweza kuwa sawa na Madagascar, kitendo cha kutibu saratani, virusi na uvimbe katika mwili maana yake ni dawa kubwa sana, haiwezi kuua Mtu” -DC MSHAMA

“Ukinywa haujapona unasema tu kama ni hela yako unarudishiwa, ndio maana unaniona sijavaa barakoa, wewe ambaye haujanywa dawa yoyote vaa barakoa, kama Madagascar wamepata dawa Why not Tanzania?, kwakuwa haina sumu tutaanzia hapa kwetu tutaongea na RMO aruhusu Watu (wagonjwa corona) wanywe”- DC MSHAMA
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

3 comments:

 1. Habari njema. MSD nunueni na mugawe kwa vingi wa Mahitaji, Bashungwa , Mollel tafuteni masoko within EAC/SADC Halafu msaidieni tlampu. As production permits

  ReplyDelete
 2. First step, Regiter as a copyright product internationaly with accredation cert, then after acquire start a mass production.

  Ensure mazingira na tahadhari na mavazi katika uzalishaji yanaendana na kiwango cha TBS/ISO/BS Quality control

  Mungu katupa misitu na kajjaalia miti dawa kuwa manufaa kwa walimwegu.

  Use it.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hongereni Sana, Hii ndiyo Tanzania mpya tunayo itaka, Uvumbuzi na Ubunifu kwenda mbele

   Ramadhan Kareem.

   Delete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger