Steve Nyerere: Idris Sultan amekosea, Hakuna Asiyejua Alichokifanya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa filamu Steve Nyerere amesema yeye pamoja na Haji Manara walizungumza na Idris Sultan kuhusu namna anavyoiendesha sanaa yake. “Hakuna mtu ambaye hajaona alichokifanya Idris Sultan, yaani kile cha kuonyesha kama amemdhihaki Mhe Rais, sanaa ina mipaka yake” alisema Steve Nyerere.

Aliongeza “Mimi na Haji Manara nilishazungumza naye baada ya matatizo yaliopita, lakini na kwa hili pia tumuombea radhi, alichokifanya hata sisi hatujakipenda “

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh mtarajiwa S.Nyerere, Wana Iringa tuna kungoja kukukabidhi jimbo letu.

    Msigwa akisikia jina lako plesha juu.

    Steve Oyeeee...!!!
    Iringa Safiii..!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad