AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amehoji kitendo cha polisi kukaa na mahabusu zaidi ya masaa yaliyowekwa na sheria za nchi.
“Lengo ni nini? Ni kumtesa au kumyima uhuru? Chombo cha kisheria kinachotakiwa kutoa adhabu nchi hii ni mahakamani na sio polisi,” Heche aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake.
“Kutofuata sheria, kutotenda haki ni chanjo cha fujo kwa nchi nyingi,” ameandika Heche.
Aliongezea kuwa “Kwa nini polisi wakae na mahabusu zaidi ya masaa yaliyowekwa na sheria zetu? Lengo ni nini? Ni kumtesa au kumnyima uhuru? Chombo cha kisheria kinachotakiwa kutoa adhabu nchi hii ni mahakama na sio polisi .. Kutofuata sheria, kutotendi haki ni chanzo cha fujo kwa nchi nyingi,”
Kwanini polisi wakae na mtu mahabusu zaidi ya masaa yaliyowekwa na sheria zetu? Lengo ni nini? Ni kumtesa au kumnyima uhuru?— John Heche (@HecheJohn) May 21, 2020
Chombo cha kisheria kinachotakiwa kutoa adhabu nchi hii ni mahakamani na sio polisi..
Kutofuata sheria, kutotenda haki ni chanzo cha fujo kwa nchi nyingi. pic.twitter.com/3OYHfMd7ZG
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Heche, utaandia mengi, kama jitto.
ReplyDeleteIwe Jua iwe mvua kidume amesha wadia
Tarime Vijijini utanusa harufu tuu.
Hakikisha shahada zako ni za kutambulika ili uweze kupata shule ya Sengerema utufundishie vijana. na mshahara unalipwa on time katika Awamu ya Sita.
Tarime oyeeee!!! Waitara Safiiiii..!!!
Mh Heche, ulikuwa lojingi au mjengo jijini Dodoma..??
ReplyDeleteBbunge ndiyo zimebaki siku za Kuhesabu kwa Vidole.