Je, Mama Dangote Alivuruga Uhusiano wa Diamond na Tanasha? Uncle Shamte Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Uncle Shamte,  mumewe Mama Dangote na babake wa kambo msanii   Diamond Platnumz amekana madai kwamba mkewe ana wajibu muhimu katika kufeli kwa uhusiano wa mwanawe  na wanawake kadhaa akiwemo Tanasha Donna.

 Akizungumza na wasafi media  alisema yeye na mke wake  huwashauri tu watoto  wao  na kuwaelekeza  na sio kuwapa maagizo ya wanayofaa kufanya katika mahusiano yao kama inavyodaiwa mitandaoni .


Mama Dangote  hajahusika kamwe na mahusiano ya kimapenzi ya Diamond  na hafai kulaumiwa kwa kufeli kwa uhusiano wake na Tanasha au mwanamke yeyote

 “ mke wangu ni rafiki mzuri wa  watoto wake lakini kamwe haingilii uhusiano wa diamond .huwa tunawashauri tu wakati tunapoona kwamba mambo hayaendi  vizuri  .mwisho wa siku ni kwamba lazima watu watazungumza kwa sababu ya umaarufu wa watoto hawa

Akihojiwa na  TRUE Love Tanasha alionekana kuashiria kwamba  mamake Diamond alikuwa akifanya muingilio mkubwa wa uhusiano wao ili kumthibiti mwanawe na huenda hilo pia liichangia kutengana kwao

 FIRST, ALL MOTHERS SHOULD BE RESPECTED. AT THE END OF THE DAY. IT GETS TO A POINT THEY GET A LITTLE CONTROLLING AND THAT IS WHERE YOU HAVE TO SET YOUR OWN BOUNDARIES, ‘  alisema

 AND LET THEM KNOW, I’M THE WRONG PERSON TO CONTROL, DARLING. IT ALL BOILS DOWN AGAIN TO WHAT IS BEST FOR YOU?’ SHE SAID.

DON’T DISRESPECT ANYONE’S MOTHER. NEVER DISRESPECT ANYONE’S MOTHER. TRY AND SET THE BOUNDARIES IN A RESPECTFUL WAY. AND DO SO IN THE BEGINNING OF THE RELATIONSHIP

 Aliongeza kwamba katika uhusiano kila mmoja anafaa kuwa tayari  kumtetea mwanamke kutoka kwa jamaa za upande wa mwanamme

HE OR SHE SHOULD ALSO TAKE INITIATIVE AND SAY, ‘HEY LOOK! THIS IS MY WOMAN/MAN DO NOT CROSS CERTAIN BOUNDARIES OR MAKE THEM FEEL UNCOMFORTABLE.LOOK DEEP WITHIN YOURSELF AND ASK, ‘ARE YOU WILLING TO PUT UP WITH THIS BS? OR AM I GONNA LEAVE?.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad