5/27/2020

Lulu DIVA Akana Kutoka na Mwanamuziki Juma Jux

Lulu DIVA Akana Kutoka na Mwanamuziki Juma Jux

Mtoto mzuri huko Bongo Flevani, Lulu Diva amesema kuwa hatoki kimapenzi na msanii mwenzake Juma Mussa maarufu kama "Jux" kama ambavyo watu wengi wanavyozungumza.

Akipiga stori na gazeti pendwa la Risasi, Lulu amesema anashangaa watu kusema kuwa anatoka na Jux kitu ambacho hakina ukweli wowote kwa sababu wao ni washkaji tu na zaidi wanaheshimiana kama kaka na dada.

"Jux ni mshkaji wangu tu tena namheshimu kama kaka yangu, hakuna kitu kingine kinachoendelea kati yetu zaidi ya hicho," alisema Lulu.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger