Mwijaku: Jonijoo Ana Tamaa, Wanalalamika Hawalipwi na Diamond wao Wanainufaishaje Kampuni ? – Video

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii na mtangazaji wa Clouds Plus Mwijaku ametoa maoni yake kuhusu mtangazaji Jonijoo kuondoka wasafi na kujiunga Efm.

Mwijaku amesema kuwa Jonijoo ni kijana mdogo bado ambaye hana mafanikio makubwa angetakiwa kutulia Wasafi au TimesFm atengeneze jina na aweke alama lakini ana tamaa za pesa.

Ameongeza kuwa wanaolalamika hawalipwi na Diamond Wasafi wao wanainufaisha nini kampuni?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad