5/27/2020

Kaka wa Pablo Escobar Aishtaki Kampuni ya APPLE Kwa Udukuzi


Kaka wa Pablo Escobar Aishtaki Kampuni ya APPLE Kwa Udukuzi

Kaka wa Pablo Escobar ameishtaki kampuni ya Apple kwa madai ya kutishiwa maisha mara baada ya simu yake kudukuliwa (hacked)

Kaka huyo wa mlanguzi mkuu wa dawa za kulevya, Roberto , ameishtaki kampuni hiyo akidai fidia ya ($2.6 Billion) madai yake ni kwamba mdukuzi huyo aliingilia simu yake na kuipata anuani kupitia FaceTime, licha ya kuhakikishiwa kuwa iPhone X ndio simu zenye usalama mkubwa kwenye soko.

Roberto aliinunua simu hiyo mwezi April mwaka huu, kwa mujibu wa nyaraka zilizodakwa na TMZ, baada ya mwaka mmoja wa kununua X hiyo, alipata vitisho vya kuuawa toka kwa jamaa aitwaye Diego ambaye alijinasibu kupata anuani yake kupitia FaceTime.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger