Serikali Yatangaza Utaratibu Mpya Kwa Watalii “Hawarudi Nyumbani Mwezi Mmoja”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, ametangaza kufunguliwa kwa anga la Ndege la Tanzania, ambapo kwa sasa Ndege za Kitalii, na kibiashara zitaruhusiwa kuingia nchini.

Aidha ameitaka ATCL kujipanga ili kurejesha huduma za usafiri.

Wakati huohuo akizungumza Jijini Dodoma, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangalla amesema kuanzia sasa watalii wanaruhusiwa kuingia nchini na kupimwa.

Dr. Kigwangalla amesema katika zoezi hilo wahudumu wa Viwanja vya Ndege, pamoja na wahudumu wa  watalii watalazimika kupimwa Corona kila mara pindi wanapoingia Tanzania.

Aidha Waziri Kigwangalla amesema, Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, zitasimamia miongozo maalumu iliyowekwa ikiwamo kufungua anga ili kuruhusu ndege zianze kuingia.
________________

KISASI CHA USALITI PENZINI !!!,usipoipenda simulizi hii dai Mb na pesa zako,licha ya kuenjoy mahaba ndani yake kuna kitu cha kujifunza mwishoni Bofya Hapa kusoma Sehem ya 1 bure,sehem iliyobaki tsh 2000 kwa mtandao wowote.

Tembelea www.makapedia.com kwa stori mpya kila tarehe moja.


JE UNATAKA BIASHARA YAKO IWE YA UHAKIKA MIAKA YOTE YAJUE HAYA? usikose kitabu hiki Bofya Hapa kusoma sehem ya 1 bure sehem ya 2 tsh 2000 tu 

ndani ya www.makapedia.com

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad