TANESCO: Home Electricity Power Saver Box...Ushari Kwa Tanesco

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari Tanzania !

TANESCO nilikuwa nina wazo kwenu linalohusiana na "Home Electricity Power Saver Box".

Hiki kifaa kiundwe na nyinyi kama mtaona inafaa au taasisi binafsi (mkipenda au kuruhusu) na pindi mnapompatia mteja hudama ya umeme basi mpatieni na hicho kifaa aidha bure au kwa gharama nafuu ili kimsaidie kutunzia umeme kwa matumizi ya dharura mfano mkiwa na matengenezo ya miundombinu yenu basi mteja anapata huduma ya umeme kama kawaida.

1. Kupitia kifaa hiki kitapunguza malalamiko ya matumizi mabovu au kuvuja kwa umeme kutoka kwa mteja au wateja au nyinyi kama taasisi.

2. Wananchi wataweza kufanya shughuli zao za kiuchumi hata kama huduma ya umeme inasuasua katika maeneo yao ambayo miundombinu inapoleta shida mfano ; nguzo kuanguka, mvua kubwa ziharibuzo miundombinu n.k

3. Kifaa hiki kitatengeneza kipato kwenu au taasisi binafsi mkiruhusu wabuni na kutengeneza pamoja na kurahisisha kazi zenu kama watoa huduma bora ya umeme hapa nchini.

NB

Kifaa hiki ni tofauti na automatic generator aidha solar au electricity. Hichi ni kifaa kitunza umeme.

Karibu !

By Masalu Jacob
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad