Amber Rutty na Mumewe Waa Update ndoa yao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii Amber Rutty ame-update ndoa yake na mumewe Davil baada ya kuachana kwa muda mrefu kisha kutalakiana kwa talaka iliyodumu kwa muda wa miezi miwili na nusu.

Akizungumza na EATV & EA Radio Digital Amber Rutty amesema wameamua ku-update ndoa  na mahusiano yao kwa sababu kulitokea malumbano na walishindwa kuelewana na sasa hivi wamerudiana tena.

"Siku ya jana tulikuwa tuna update mahusiano yetu tangu tulivyofunga ndoa hapo katikati kulitokea malumbano, kushindwana kuelewana na tukafarakana ila sasa tumerudiana, kwa hiyo mume wangu ameamua kua-update kwa kusheherekea ili mahusiano yetu yawe mapya kabisa na alinifanyia suprise ya kunivalisha pete" amesema Amber Rutty
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad