6/21/2020

Baraka da Prince Kipaji Kinachoangushwa na KiburiHuyu jamaa angetulia vizuri now angekuwa mbali mnoo.
Shida ni kiburi na kujiona yeye anajua kila kitu..

Kashagombana. Na wengi waliomtoa ikiwemo mlezi wake kid bway..huyu jamaa ndo aliemtoa baraka uko mwanza ...ila jamaa kwa nyodo akaondoka.

ule wimbo wa Ben Paul moyo mashine ilikuwa aimbe baraka .kidbway alimlipa godluck gozbert aandike ila wakazinguan na baraka.ikabid apewe Ben Paul.

Baraka ana majibu mabaya mnoo kwa mashabiki huko kwenye mitandao ya kijamii.
Haoni tabu kutukana shabiki

Mfano kuna shabiki alimuulza baraka lini utatoa tena nyimbo na ruby?

Jamaa akajibu ,haitokuja kutokea kamwe ...!

Wimbo wake huu mpya (nimekoma) umemrudisha kwenye chart.maana alikuwa kapotea ..

Baraka badilika kabla ujachelewa...
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger