Dayna Nyange Ajibu Kuhusu Kutoa Mimba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Msanii Dayna Nyange amesema kuwa kipindi anatoka Marekani, alikuwa na tumbo kubwa ambapo watu walidhani ni mjamzito lakini baada ya muda hakuonekana hivyo hali iliyopelekea watu kudhani ametoa ujauzito huo.

Dayna Nyange ameendelea kusema suala hilo lilifanya watu kumtuhumu kama ametoa mimba, jambo ambalo sio la ukweli japo kwa sasa ana mtoto mmoja ila hahitaji kuongeza mtoto mwingine tena.

"Mimi ni mtoto wa Kiislam siwezi kufanya hivyo wala sitarajii na sifikirii, nina mtoto mmoja na najilinda sitaki kuwa na mwingine kwa wakati ambao nahisi sio sahihi, wanasema nimetoa kwa sababu niliwahi kupost picha ambayo nilioenekana kama mjamzito kwa sababu tumbo langu lilikuwa kubwa, kwahiyo watu waliamini mimi ni mjamzito na nimetoa huo ujauzito" ameeleza Dayna Nyange.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad