Fatma Karume "Marais wa Afrika Wananichosha kwa Kuvunja Katiba za nchi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume  amesema marais wa Afrika wanamshangaza kwa kutendo cha kuvunja katiba za nchi.

“Marais wa Afrika wananishangaza sana. Wanafunja katiba za nchi halafu wanajihami,” aliandika Fatma katika ukurasa wake wa twitter.

Aliyataja mambo manne ambayo wanajihami nayo kuwa ni kulipa kinga ovu, kubadilisha katiba ili waendelee milele, kujaribu kumkabidhi rafiki yao urais na kuiba kura ili wasiondoke madarakani.

“Mbona wanajisumbua dawa ya yote ni kuacha kuvunja katiba tu,” aliandika Fatma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Che che Shangazi, Are you serious ?

    Dc katoa ofa yake kwako.
    Na mie nimetoa yangu kwa shoga yako Halima.. mtupe majibu haraka.

    Ama sivyo Mbuta Nanga(Mama la LONDON)
    Na Ebitoke watachangamkia.

    ReplyDelete

Top Post Ad