6/19/2020

Mpinzani wa Lema Arusha Huyu HapaMWANANCHAMA  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayee pia ni mwandishi wa habari wa Global TV Online, Victor Moshi,  maarufu kama Korumba Lebabazi, jana,  Juni 18, 2020,  alitangaza nia ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini katika hoteli ya Golden Rose.

Amekuwa mgombea wa kwanza kutangaza nia ya kuchukua fomu ya chama hicho ili kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kupitishwa na chama ili apate ridhaa ya kugombea ubunge katika jimbo hilo ambalo kwa sasa linashikiliwa na Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger