Nabii Shillah Aonywa Kisa Skendo Chafu – Ni Yeye Shillah Kwenye Video ya Ngono (Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msemaji wa Manabii na Mitume, @dr.richard_godwin Richard Godwin amefunguka mambo mengi hukusu tabia za mitume na manabii wa sasa kutokana na kufanya matukio ambayo yanatia aibu.


Amesema hayo Jumamosi hii jijini Dar Es Salaam wakati wa kikao cha Mitume na Manabii kuandaa sheria ambazo zitawaongoza katika kazi zao.

Mgeni rasmi wa kikao hicho alikuwa Mzee wa Upako ambapo aliwataka manabii na mitume kuacha kufanya mambo ya ovyo ambayo yanawachafua viongozi wa dini.

VIDEO:

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Manabii na Mitume..!!!
    Na sasa Kuna msemaji WA Nabii sijui kwa Mitume..!!

    Mbona mnaingia kufuru na kuhariblugha yetu fasihi ya Kiswahili kwa Njaa zenu na upotoshi. Jirudini WENYE Njaa na Media msiwe mnaandika Upumbavu na Upotoshaji WA kiwango hi hi. Tafadhalini mjiongeze hata kufikia Diploma Tafadhalini.

    ReplyDelete

Top Post Ad