Siku ya tukio jamaa huyo alimpigia simu ex wake akimuomba waonane kuna kitu serious wajadili ambapo ex huyo hakuwa na hiyana sababu walishaachana. Walipokutana jamaa alikuwa na huyo mke wake ambaye kimsingi yeye na huyo ex wa mumewe walikuwa mtu na shoga'ke kabla yeye kuolewa
Walimshawishi wasogee kwenye jengo ambalo halijakamilika na walipofika jamaa alimuangusha chini ex wake, mke huyo pichani akatoa mkasi kumchania nguo best yake huyo wa zamani, wakambana kisha akiwa uchi mke huyo akamsokomeza chupa sehemu za siri. kisha wakampiga picha akiwa uchi na kumtishia watazivujisha mitandaoni ikiwa ataripoti au kumwambia yeyote yule. hata hivyo ex huyo ameenda police kuripoti ukatili aliofanyiwa That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments