Rasmi Mwanamuziki Wakazi ajitosa Ubunge, Ataja Jimbo Atakalo Gombea...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa HipHop Bongo Wakazi ametia nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Segerea kupitia chama cha ACT Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.


Wakazi ameeleza nia hiyo leo Juni 20, 2020 kwenye mkutano wa chama hicho unaofanyika jijini Dar es salaam.

Wakazi amesema amekuwa mwanaharakati wa muda mrefu wa masuala ya haki na usawa hivyo ameona ni wakati sasa wa kuwa kiongozi.

''Kwasababu nimepata heshima ya kuitwa hapa mbele ya mkutano naomba nitumie nafasi hii kutangaza rasmi kuwa nitagombea ubunge katika Jimbo langu la Segerea'', amesema.

Hivi karibuni Wakazi alikabidhiwa kadi ya chama hicho na Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad