6/20/2020

Wimbo wa GOOBA wa Tekashi 69 Wagonga Platinum Marekani.....


Wimbo wa Tekashi 69 "GOOBA" umefikisha mauzo ya nakala milioni 1 kwa Marekani hivyo kupewa hadhi ya Platinum. Wimbo huo wa kwanza kwa Tekashi 69 tangu aachiwe kutoka jela, ulitoka Mei 8, 2020 na kuacha rekodi kibao kwenye mitandao mbali mbali ya muziki duniani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger