AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wema Sepetu na Aunty Ezekiel Hawa mi sitaki kuingilia kabisa Kabisa Urafiki wao Hata nyie Kaeni pembeni waarabu wapemba hawa wanagombana kesho wanapatana leo...Kwa sasa wawili hao unaambiwa haziivi katika chungu kimoja kile mtu na mishe zake hadi kufikia ku unfolowiana kwenye Instagram kama inavyoonesha hapo kwenye picha
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK