7/15/2020

Breakin News: Rais Magufuli afanya Uteuzi, Kunenge achukua nafasi ya Makonda Dar es SalaamRais John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akichukua nafasi ya Paul Makonda. 

Kunenge kabla ya uteuzi huo alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger