Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Breaking News: Kubenea Ajitoa CHADEMA Atimkia ACT Wazalendo

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMbunge wa Ubungo Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Said  Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo leo jumamoasi julai 18,2020.

Kubenea amepokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho.

Post a Comment

0 Comments