7/31/2020

DC wa Arusha Afunga Ndoa na Miss Dodoma


MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Labani Kihongosi, jana amefunga ndoa mkoani Iringa na mchumba wake  Adilla Chigomelo aliyewahi kuwa mshindi wa taji la ulimbwende Kanda ya Kati  na Jiji la Dodoma (Miss Central Zone na Miss Dodoma City mwaka 2018/2019).
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger