7/31/2020

Askari Walevi Waua Watu 12 CongoASKARI waliokuwa wamelewa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na wengine kadhaa kujeruhiwa.Mmoja wa wahanga anaripotiwa kuwa mtoto wa miaka miwili. Mauaji hayo yalitokea Alhamisi katika jimbo la Kivu kusini mashariki mwa nchi hiyo.Kumekuwa na waandamanaji wenye hasira dhidi jeshi la Kongo katika mji wa Sange, eneo ambalo barabara nyingi zilikuwa zimefugwa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger