7/22/2020

Eden Hazard ana Ndoto za Kurudi ChelseaMshambuliaji wa pembeni wa Mabingwa wa Hispania Real Madrid, Eden Hazard amesema huenda akarejea jijini London kujiunga na waajiri wake wa zamani Chelsea, kutokana na kukoshwa na aina ya wachezaji wapya ambao wapo njiani kusajiliwa majira ya kiangazi.

Hazard amesema anafikiria kurudi hapo siku moja na mashabiki wa Chelsea wategemee hilo, kwa kuwa mastaa kama Timo Werner na Hakim Ziyech wanampa mzuka wa kutaka kucheza nao.

Chelsea tayari imejihakikishia kuziapata saini za Hakim Ziyech kutoka Juventus na Timo Werner kutoka RB Leipzig, Pia wapo kwenye mpango wa kuhakikisha wanaipata saini ya Kai Havertz wa Bayer Leverkusen ambaye ripoti zinadai wameongeza juhudi za kuhakikisha wanaipata saini yake.

“Nitarudi ikiwa nitamaliza kilichonileta hapa, huwa naangalia mechi zao japo sio mara nyingi, kiukweli wanafanya vizuri, kuna vijana wengi kwenye timu ambao wana viwango vizuri, kwa sasa wanawe
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger