“Hatuwezi Kuruhusu Rais Aongeze Muda Wa Kutawala” Dkt.Bashiru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema chama hicho hakitakubali rais John Magufuli kuongeza muda wa kutawala atakapomaliza muda wake.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum na mtangazaji mkongwe Tido Mhando wa kituo cha Utv, Dkt. Bashiru amesema kitendo cha kuongeza muda ni kwenda kinyume na baba wa taifa na muasisi wa chama cha mapinduzi Mwalimu Jullius Nyerere.

“Hili la kuongeza muda, Rais Magufuli hawezi kukubali na hata CCM haiwezi kukubali…Rais Magufuli hata akishinda kwa 100%, baada ya muda wa muhula wa pili kuisha, hata ongeza hata siku moja”amesema Dkt Bashiru.

Kwa kipindi kirefu sasa baadhi ya wabunge na makada wa chama cha mapinduzi wamekuwa wakimtaka Rais John Magufuli kuongeza muda wa kutawala kutokana na mambo makubwa anayofanya nchini.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad