Huu ndiyo muonekano mpya wa Mo SalahBaada ya Liverpool kukamilisha mbio zake za kutwaa Ubingwa wa Premier League hatimaye nyota wa klabu hiyo, Mohamed Salah ameamua kubadili muonekano wake kwa kupunguza nywele zake.


Mohamed Salah ditches trademark afro for fresh fade as Liverpool ...


Salah ambaye amekuwa na msimu mzuri zaidi ndani ya the Reds, ameamua kupunguza nywele zake na kuwa na muonekano mpya kisha kutupia picha katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram hapo jana siku ya Jumatano.


Mohamed Salah ditches trademark afro for fresh fade as Liverpool ...


Baada ya kuweka picha hiyo kwenye mtandao wake wa Instagram baadhi ya wachezaji wa  Liverpool walitumia nafasi hiyo kuanza kumtania akiwemo, Alex Oxlade-Chamberlain ambaye amedai kuwa Mmisri huyo kaiga muonekano wake wa nywele.


Alex Oxlade-Chamberlain reveals his top five TV picks for lockdown ...


Curtis Jones naye kwa upande wake aliandika ujumbe unaosema kuwa ameupenda muonekano huo huku akiweka na emoji ya kucheka.


Salah mwenye umri wa miaka 28 amejiunga na klabu ya Liverpool akitokea Roma mwaka 2017  na kwa sasa ameshinda jumla ya mataji manne katika miaka yake mitatu aliyotumia kuwepo Merseyside.That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments