7/24/2020

Idris Sultan: Mkapa ulisimamisha nguzo nzito zilizoanzishwa na TANU mpaka CCM kwa weledi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania Benjamin William Mkapa.

Baada ya taarifa hizo baadhi ya watu maarufu wamepost wakionyesha kusikitishwana msiba huo, mmoja wao ni Idris Sultan.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost haya:-

A life well lived sir, inna lillahi wainna illaihi rajighun 🖤… Ulisimamisha nguzo nzito zilizoanzishwa na TANU mpaka CCM kwa weledi, mapenzi na busara kubwa kiasi cha kufanya kiti kizito chenye majukumu magumu sana kuonekana chepesi na kuwapa wengi moyo kukivaa. Haya maneno sisemi kwako bali kwa wasiojua nguvu uliyotuachia. Thank you sir “


 

 

 

OPEN IN BROWSER

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger