Jokate “Kiukweli Natamani Kuwa na Familia yangu, Natamani kuwa na Mume Wangu na Watoto"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Kiukweli natamani kuwa na familia yangu, natamani kuwa na mume wangu na watoto wangu na naamini Mwenyezi Mungu akijaalia nitakuwa nao.Ni kitu ambacho ningependa kuwa nacho, God’s time is the best. Kwasasa ningependa kuwa na mtu ambaye ni mwelewa sana kwa sababu kazi za uongozi si lelemama, awe Mcha Mungu kwa sababu changamoto ni nyingi, bila kuwa na Mungu huwezi kukabiliana nazo kwa nguvu zako mwenyewe” - Mh.Jokate Mwegelo .
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad